MADEREVA WA MABASI TUPUNGUZIENI BALAA HILI!!!!!


Wadau wa usafiri nchini Tanzania na nchi jirani ambao wamekuwa wakitumia usafiri wa mabasi katika shughuli zao za kila siku na katika kusafiri kikazi au katika likizo mbalimbali kwa ajiri ya mapumziko wameiomba mamlaka ya usafiri wa majini na nchi kavu SUMATRA kushirikiana kwa ukaribu na madereva wa mabasi ya abiria kulitazama kwa ukaribu suala la ongezeko la ajari ambazo zimekuwa zikigharimu maisha ya watanzania wengi na hivyo kupoteza nguvu kazi ya taifa ambayo kama ingeendelea kuwepo basi ingekuwa ni faida kubwa sana kwa taifa la Tanzania

Wadua hao pia wameliomba jeshi la polisi kitengo cha usalama barabarani kuongeza nguvu na juhudi katika kupambana na suala hili la ongezeko la ajari ambalo limekuwa likigharimu maisha ya watanzania huku wao wakidaiwa kuhusika kwa namna moja au nyingine kwa kuruhusu magari kutembea na kubeba abiria ilihali yanakuwa hayana viwango vinavyotakiwa kwa gari kuwa gari ya kubeba na kusafirisha abiria, na pia kuruhusu madereva wasiokuwa na viwango na ruhusa ya kuendesha magari ya abiria hasa yanayokwenda masafa marefu.

ZIFUATAZO NI BAADHI YA AJRI AMBAZO ZIMEKWISHA WAHI KUTOKEA NA KUGHARIMU MAISHA YA NDUGU ZETU,MARAFIKI. TUUNGANE KATIKA KUPUNGUZA AJARI KWA MASLAHI YA TAIFA ZIMA!!
 



































Previous
Next Post »