NEEMA KWA WAKAZI WA SUMBAWANGA NA VIUNGA VYAKE!!!!



Ni ile kampuni ya usaririshaji ya muda mrefu ya SUMRY HIGH CLASS pamoja na MBEYA EXPRESS wameamua kutatua kero za usafiri mjini humo kwa kuamua kuleta mabasi manne yenye bodi za malaysia yaani sks ambazo ni luxury sana na hivo kuleta ushindani mkubwa katika usafirishaji .Tuombe mungu na wammiliki wa mmabasi wengine wapeleke gari zao huko ili ilete chachu katika biashara ya usafirishaji kwa kuwa sasa sumbawanga mpaka mbeya ni barabara ya lami au ajitokeze hata mmoja aweke gari ya moja kwa moja kutoka summbawanga mpaka dar es salaam



Previous
Next Post »