BREAKING NEWS!! BASI LA PRINCES MURO LAPATA AJARI MIKUMI!!



Bai la kampuni ya PRINCES MURO lililokuwa likitokea Njombe kuelekea jijini Dar es salaam limepata ajari  katika mbuga ya wanayama ya Mikumi mkoanai Morogoro leo majira ya saa nane mchana na kusababisha majeruhi kadhaa. Katika ajari hiyo hakuna aliyepoteza maisha na chanzo cha ajari kwa mujibu wa vyanzo vyetu vya habari ni kutokana na mwendo kasi!



Previous
Next Post »