KATIKA MUENDELEZO WA KUWALETEA WADAU WETU NA WASOMAJI WETU WA KUTOKA SEHEMU MBALIMBALI NA KUWAJULISHA USAFIRI UNAOTUMIKA KWA SAFARI ZA MIKOA MBALIMBALI NA JIJI LA DAR ES SALAAM, KATIKA MUENDELEZO HUO,LEO TUPO KATIKA MKOA WA MBEYA AMBAPO TUTAANGALIA USAFIRI WA KATI YA JIJI LA MBEYA NA JIJI LA DAR ES SALAAM.
VIWANGO VYA NAULI KATIKA NJIA HII, VINATOFAUTIANA KULINGANA NA HALI NA NAMNA YA BASI LILIVYO NA HUDUMA ZINAZOTOLEWA KATIKA BASI HILO. IJAPOKUWA ZIPO NAULI ZILIZOPANGWA NA SUMTRA.
KAMPUNI NYINGI KATIKA RUTI HII WANATOZA NAULI KUANZIA TSH.35,000/= HADI TSH.44,000/=
BUS NYINGI KATIKA RUTI HII NI SEMI LUXURY.
KUNA HOTEL TATU KUBWA KWAAJILI YA KUPATA CHAKULA KATIKA NJIA HII AMBAZO NI
1.AL JAZEERA
2.KITONGA COMFORT HOTEL
3.BISMILLAHI HOTEL ILULA HOTEL
ZIFUATAZO NI KAMPUNI ZA MABASI ZINAZOKUFANIKISHIA SAFARI YAKO YA DAR ES SALAAM NA DODOMA KUANZIA SAA 06:00 ASUBUHI.
1.NDENJELA BUS.
2.JM LUXURY
3.NGAILO EXPRESS
4.ABOOD BUS
5.AL HUSHOOM
6.UPENDO/BUDGET
7.DAR LUX
8.FM SAFARI'S
9.HAPPY NATION EXPRESS
10.MAJINJAH SPECIAL
11.NEW FORCE/GOLDEN DEER
12.NGANGA EXPRESS
13.PRINCES MURO
14.RUNGWE EXPRESS