ZHONGTONG NI KIBOKO!!!!!!! ONA HIII!!! HIZI NDIYO KAMPUNI ZILIZOFUNGULIA KUWA NA ZHONGTONG!!!!!!


Kampuni ya utegenezaji wa mabasi kutoka chini China ya ZHON TONG CAESAR,inaonekana kuja juu katika suala zima la kuuza mabasi ya abiria kwa kampuni nyingi za mabasi za hapa nchini, kwani kwa sasa kwa sasa kampuni hio imeuza mabasi yake kwa kampuni mbalimbali kama zifuatazo!

1) MERIDIAN



2) KIDIA ONE


3) NEW FORCE ENTERPRISES


4) SUPER SAMI


5) PRINCES MUNAA


6) PRINCES MURO

7)  HAPPY NATION EXPRESS

8) MANING NICE



9) ALSAEDY ROYAL CLASS

10) ISLAM BUS SERVICE


Previous
Next Post »