ABIRIA WA KUTOKA DAR ES SALAAM KUELEKEA MIKOANI NA NCHI JIRANI NI MATESOO!!!!!!!!!


Abiri waliokuwa wakitokea jijini Dar es salaam kuelekea mikoani na nchi jirani leo wamekuwa na wakati mgumu baada ya kukwama katika daraja la mto RUVU kutokana na eneo la daraja kufurika maji yaliyotokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali ambayo ni chanzo cha maji cha mto huo. Kwa taarifa zilizotuufikia zinasema Lori moja la mafuta hadi sasa limeshasombwa na JWTZ wameweka amri ya tahadhari ya kutosogea eneo la daraja .

TAZAMA BAADHI YA TUKIO ZIMA LA KUFURIKA MAJI KWA MTO RUVU NA KUSABABISHA KUFUNGWA BARABARA .









Previous
Next Post »