HAYA NDIYO MABASI YANAYOFANYA SAFARI KATI YA DAR ES SALAAM NA MKOA WA TABORA!!

Huu ni uedelezo wa kukuletea na kukufahamisha wewe mdau wa sekta ya usafiri nchini Tanzania kampuni za mabasi ambazo zimekuwa zikitoa huduma kutoka katika mkoa mmja hadi mwingine. Katika muendelezo huo,leo tunaangazia safari ya kutoka Dar es salaam hadi Tabora au Tabora hadi Dar es salaam kila siku.

1. NBS CLASSIC CO.LIMITED



2. AIR BUS



3. SABENA / KING SABENA



4.HBS EXPRESS


5. SASEBOSA

Previous
Next Post »