BREAKING NEWS!!! BASI LA KAMPUNI YA HOOD LATEKETEA KWA MOTO!!!!!!!!!!!!!!



Basi la abiria mali ya kampuni ya HOOD TRANSPORT COLTD linalofanya safari kati ya mikoa ya Arusha na Mbeya limeteketea kwa moto leo majira ya saa 06:15 jioni katika mkoa wa Pwani  lilipokuwa safarini kuelekea jijini Arusha kutokea jijini Mbeya.

Kwa mujibu wa taarifa za polisi zimethibitisha kuwa katika tukio hilo,hakuna abiria aliyepoteza maisha

.
Previous
Next Post »