UPYAAAAA!!!! HUU NDIYO UJIO MPYA WA KAMPUNI HIZI ZA MABASI, NI UPYAAAAAAA!!!!!!

Katika suala zima la kampuni za mabasi nchini Tanzania kuendelea kutoa huduma zilizokuwa bora zaidi kwa abiria wao na kuweza kukidhi mahitaji ya soko hria lienye changamoto nyingi hasa katika biashara hii ya mabasi yanayochangiwa na maendeleo ya sayansi na teknolojia, kampuni mabli mabli za mabasi mabli mbali zimejaribu kukidhi haja za wateja wao na kwenda sambamba na maendeleo hayo ya saynsi na teknoloji kwa kuingiza mabasi mapya nchini na kuhudumia wateja wao.

Zifuatazo ni baadhi ya kampuni ambazo zimeingiza mabasi mapya nchini kuanzia mwezi wa SITA mwaka 2013 hadi leo hii tarehe 21/04/2014.

1. SHABIBY LINE


2. MERIDIAN EXPRESS


3. KIDIA ONE EXPRESS



4. SUPER FEO EXPRESS


5. ABC TRANS

6. SUPER SAMI


7. DAR EXPRESS


8. HAPPY NATION

9. MB COACH

10. MACHINGA TRANS

11. PRINCES MURO

12. NAJMA

13. GRAZIA VENERALI

14. COLOR STAR

15. TAHMEED


16. AL SAEDY HIGH CLASS

17. OSAKA CLASSIC

18.ZUBER

19. TAQWA

20. BUFFALO COACH

Previous
Next Post »