HIZI NDIYO BASI ZINAZOSEMEKANA KUIPUNGUZA NGUVU YA UHAI KAMPUNI YA SUMRY!!!!



Inasemekana kuwa gharama ya manunuzi ya basi hizi aina ya SKS BUS kutoka nchini Malaysia kuwa za juu kiasi cha kati ya  Tshs.mil. 300 hadi mil.380 na uwezo wake wa kusafiri umbali mrefu kuwa ni mdogo imesemekana kuwa ndiyo chanzo cha kampuni ya mabasi ya SUMRY HIGH CLASS iliyojibebea jina na umaarufu mkubwa hapa nchini kuanza kupoteza umaarufu wake na pia mvuto kwa abiria waliokuwa wakipenda kutumia usafiri huo ambao ulionekana kuwa ni wa hali ya juu kwani mara kadhaa wamesikika wakilalamika kuchelewa kufika mikoa husika kuliko kawaida na wakati mwingine kuwalaza njiania abiria wake kutokana ka kuharibika haribika kulikopita kiasi.















Previous
Next Post »