BREAKING NEWS!!! HIZI NDIYO KAMPUNI ZA MABASI ZA UHAKIKA KWA SAFARI ZA DAR ES SALAAM- MWANZA


Kumekuwa na mahitaji makubwa sana ya watu wengi kutaka kujua kuwa ni kampuni gani za mabasi ambazo ni za luxury, za kuaminika na safari zake ni za uhakika kutoka Dar es salaam hadi mikoa mbalimbali.

Kwa kuuzingatia mahitaji ya wadau wetu wa TANZANIABOUNDBUSES.BLOGSPOT ambayo ni ya msingi,tuliamua kufanya uchunguzi wa kina ili kuweza kuja na majibu ambayo ni msaada kwenu. Kwa kuanzia tumeanza na njia ya Dar es salaam hadi Mwanza na majibu ni kama ifuatavyo.

MABASI YANAYO ONGOZA KWA SPEED!
  1. SIMIYU EXPRESS
 
  1. 2. SUPER SAMI

  1. 3. HAPPY NATION


  1. 4. IGEMBE NSABO


MABASI YALIYO YA LXURY NA HUDUMA BORA!

1) IGEMBE NSABO.
Basihili wanatoa coupon kwa ajiri ya chakula njiani hotelini!

2) ISAMILO EXPRESS.
Mabasi haya yana huduma ya umeme ndani ya basi kupitia switch socket ambazo zipo katika seats, pia wanatoa huduma ya internet access kwa watumiaji wa mitandao kupitia wireless zao ndani ya basi.

Mabasi mengine ambayo ni ya uhakika lakini hakuna huduma zaidi zinazotolewa (on board services)

SUPER SAMI EXPRESS, ZUBERI, PRINCES MURO, MUSOMA EXPRESS, MASTER CITY LIMITED, MOHAMEDI TRANS LTD, HAPPY NATION, NAJIMUNISA, SIMIYU EXPRESS.
Previous
Next Post »