BREAKING NEWS!!! MACHAME SAFARI'S EXPRESS YAINGIZA BASI MPYAA!!!!!!!!!


Kampuni ya mabasi ya MACHAME SAFARIS EXPRESS yenye makao makuu yake mjini MOSHI KILIMAJARO inatarajia kuingiza mabasi ma NNE katika kile kinachoonekana kuwa ni kujiimarisha  kaika suala zima la usafirishaji wa abiria ili kuweza kuendana na mahitaji ya abiria ambao wamekuwa wakiongezeka kadiri siku zinavyokwenda.

Kampuni hii ya MACHAME SAFARIS EXPRESS inatarajia kuingiza basi hizo  mwezi ujao zikiwa ni luxury bus kwa maana kwamba zinakuwa ni 2 by 2 seats,na screen SABA kila basi zitakazowezesha abiria kufurahia safari yao kila wanaposafiri na MACHAME EXPRESS SAFARI.

Kwa mujibu wa taarifa zilizoifikia blogu yetu ni kwamba basi hizi zitaungana na basi yingine NNE zilizotangulia kuingia mapema mwaka jana nchini Tanzania na kufanya kazi katika ruti za  ARUSHA NA DAR ES SALAAM, na MOSHI/KILIMANJARO na DAR ES SALAAM.

TAZAMA PICHA YA BASI HIZO HAPA CHINI.




Previous
Next Post »