AJALI YA BASI YAUA WAWILI LUGOBA!!!!!!!!!

Basi la Smart lililokuwa likitokea jijini Dar es Salaam kuelekea Mombasa nchini Kenya limeacha njia kisha kupinduka na kusababisha vifo vya watu wawili pamoja na kujeruhi abiria wanaokadiriwa kufika 20. Ajali hiyo imetokea katika eneo la Mkata na Lugoba, barabara kuu ya Chalinze-Segera.


                                       Basi la Smart likiwa limepinduka eneo la Lugoba.
             Mmoja wa majeruhi wa ajali hiyo akiwa amepoteza fahamu baada ya kupata mshtuko.
Watu wawili wamefariki dunia baada ya ajali ya basi la Smart leo asubuhi.
Previous
Next Post »