Wadau hii ni moja ya kampuni ya usafirishaji inayofanya safari zake ndani ya mikoa ya Tanzania hususani kanda ya ziwa ambapo imetawala sana mikoa ya Mwanz,Shinyanga,Tabora na Dar es salaam.kwa sasa kampuni hii haisikiki tena kwa yale matukio ya ajali kama miaka ya nyuma ambapo ilifulululiza sana kwa ajali hali ambayo watu wengi walikuwa wanaogopa kutumia usafiri huu.Sasa kasheshe inakuja kampuni hii wakati iaongoza kwa ajali ilikuwa na bidii sana kwa kuleta mabasi mapya kama marcopollo na irizar lakin sasa hakuna hata gari moja lililo lipya hata la kuchongwa hakuna mara ya mwisho walileta yale mabasi mekundu ambayo yanafanya safari kati ya mwanza na tabora kupitia shinyanga tangu hapo hakuna tena gari mpya iliyokuja sijui wahusika wanasubiri mpaka gari zianze tena kupata ajali ndio wasikie kilio cha wananchi lakini wakummbuke kampuni hii ilishawai kufungiwa na sumatra kutoa huduma zao za usafirishaji.Tunaomba sana kampuni hii Ilete gari mpyaaaa
This is dummy text. It is not meant to be read. Accordingly, it is difficult to figure out when to end it. But then, this is dummy text. It is not meant to be read. Period.