MABASI YA KAMPUNI YA TSK SAFARI YAMEZIDI UREFU!!!!!


Hii ni moja kati ya kampuni changa zilizoanzisha safari zake kati ya mbeya mpaka Dar es salaam na Tunduma.kampuni hii inauza sana ingawa inakummbana na changamoto nyingi mfano inawalazimu kutembea na vibali mda wote wa safari ili kuepusha usumbufu wa askari wa barabarani na kila waingiapo mizani kwa kuwa gari limezidi urefu na pia ikifika saa moja jioni wakiwa bado hawajafika Tunduma inawalazimu kutoa kiasi cha pesa ili waruhusiwe kuendelea na safari.Tatizo hili linawakumba sana pale kwenye mizani sehem inayoitwa mmpemba.Kama serikali inaona kuwa hizi gari zimmezidi urefu kwanini waliziruhusu kuingia nchini wakati zimethibitishwa na TBS kuwa zinakidhi viwango vya usafirishaji tanzania.


Previous
Next Post »