WADAU WA USAFIRI: UTARATIBU HUU WA KAMPUNI YA HOOD NI WA KUIGWA!!!!!!!


Hapa ndio mmakao makuu ya mabasi ya HOOD iliyoko mjini morogoro,mabasi ambayo hufanya safari zake sehem mbalimbali nchini Tanzania ikiwemo Mbeya,Iringa,Morogoro,Arusha Dodoma pomoja na sehem nyingine nyingi

Kampuni ya HOOD ni moja ya kampuni za mabasi ambazo zina utaratibu mzuri na unaopaswa kuigwa na kampuni nyingine wa kuwa na ukaguzi wa mabasi yao yote pindi yanapofika hapa makao makuu kabla ya kuyaruhusu kuendelea na safari husika. Kwa kuzingatia hilo,wadau mbalimbali wa usafiri katika mikoa mbalimbali wametoa mapendekezo kwa kampuni zote za mabasi kuwa na utaratibu kama wa kampuni ya HOOD wa kuyafanyia ukaguzi mabasi yao katika vituoa vya njiani pindi yanapokuwa safarini ili kuweza kuwa na uhakika wa safari zao.


TAZAMA PICHA MABASI YA HOOD YAKIWA KATIKA UKAGUZI KABLA YA KUENDELEA NA SAFARI!!!!!!










Previous
Next Post »