ZIJUE KAMPUNI ZINAZO FANYA KAZI YA KUCHONGA MABODI YA MABASI...!!!!!!!!!!!!!!!!11

Kumekuwa na ongezeko la mabasi ya abiria katika sekta ya usafirishaji wa abiria hapa nchini Tanzania na nchi Jirani za Afrika na kwa namna moja au nyingine,ongezeko hili limechangia uhitaji wa mabasi ya kisasa na yenye uwezo wa kumudu mazingira,hali na umbali wa safari tofauti tofauti bila kuleta shida.

Kutokana na uhitaji huo wa mabasi yenye viwango vya hali ya juu, ndiyo kukapelekea kuanzishwa kwa makampuni mbalimbali yenye kufanya shughuli inayofanana ya utengenezaji wa bodi za kisasa kabisa za mabasi, na bodi hizo ndiyo kwa asilimia tisini 90% ndiyo zinazotumiwa na mabasi yaliyo mengi nchini Tanzania na hata nchi za jirani hasa ukanda huu wa Afrika Mashariki.

Kampuni hizo zinazofanya kazi hiyo kwa Tanzania ni tatu ambazo ni

1. QUALITY GROUP
 Mfano.


2,DAR COACH
mfano,



3.BANSAL FABRICATOR

Kwa Kenya ndiyo zipo nyingi kidogo ila baadhi yake ni

1) CHODA BUS FABRICATOR




2) MASTER FABRICATOR





HIZO NI BAADHI TUU TUTAENDELEA KUWAFAHAMISHA NYINGINE ZAIDI KWANI ZIPO NYINGI!
Previous
Next Post »