BREAKING NEWS!!!!!!!!!!!! SUPER FEO KUANZA SAFARI ZA SONGEA-DODOMA



Baada ya kuongeza wigo wa kampuni kwa kuanzisha  safari za Mbinga-Dar es salaam, kampuni ya usafirishaji wa abiria nchini Tanzania ya SUPER FEO EXPRESS yenye makao makuu yake mjini Songea mkoani Ruvuma,imepania kuendelea kuongeza wigo wa huduma zake kwa kuongeza safari nyingine kutoka SONGEA - DAR ES SALAAM.

SUPER FEO EXPRESS imeamua kuongeza ruti hiyo ambayo itakuwa inatokea Songea ,Iringa Mtera hadi Dodoma ambapo usafiri huo utakuwa ni wa kila siku kwa ajiri ya kukidhi haja na mahitaji ya abiria wake ambao wamekuwa akihitaji usafiri katika mikoa hiyo kwani kumekuwa na shida kubwa sana ya usafiri.















Source: www.superfeobus.blogspot.com.


Previous
Next Post »