BASI LA YANGA LAPATA AJALI LEO LIKIWA NA WACHEZAJI!!!!!!!!!!!!!!


Bus la timu ya Young Africans lililokuwa limebeba wachezaji pamoja na viongozi wa benchi la ufundi limepata ajali eneo na Mikese Mizani baada ya Mabas yaliyokua yakielekea  mikoa ya bara kutokea jijini Dar es salaam kuziba njia na kusababisha basi hilo kuhama njia na  kutumbukia kwenye mtaro.

Katika ajali hiyo ambayo imetokea leo hii majira ya saa tatu na nusu asubuhi eneo hilo la mikese mkoani Morogoro, hakuna mtu yeyote aliyejeruhiwa na kwa sasa timu imeshaondokaondoka kwa usafiri wa basi jingine kuelekea jijini Dar es salaam.






Previous
Next Post »