BREAKING NEWS!!!!! NEEMA NYINGINE KWA KAMPUNI ZA MABASI!!!!!!!!!!

 Kumekuwa na kasumba ya kampuni za mabasi tofauti kuwa na rangi za mabasi yao zinazofanana hali ambayo kwa namna moja au nyingine imekuwa ni kero kubwa sana kwa abiria wanaotumia mabasi ya kampuni hizo kwani mara nyingi huwafanya abiria kuweza kuchanganya magari hayo kwa kupanda magari tofauti.
mfano: PRINCES MURO, PRINCES MUNAA,PRINCES SHABAHA, ABC,ABS NA GAMET, LIM SAFARI,IBRA LINE.Kwa kuzingatia umuhimu wa kuwa na rangi za kuvutia, AP-paintings imetoa design mpya kwa ajiri ya kampuni hizo!!!

ANGALIZO!! HURUHUSIWI KUTUMIA RANGI HIZI BILA YA RUHUSA YA AP-PAINTINGS!

MAWASILIANO:
0753 92 25 02
 0714 36 5859






















Previous
Next Post »