BREAKING NEWS!!!!! BASI ZA KAMPUNI YA SHABIBY ZAWASILI BANDARI YA JIJINI MOMBASA!!!

Hayawi hayawi yamekuwa,zile basi zetu tulizokuwa tukizisubiri kwa hamu na kwa muda mrefu zimeshafika katika bandari ya mombasa nchini kenya. Kwa hiyo tunawaomba wadau wetu wa mikoa yote ambayo tumekuwa tukitoa huduma za usafiri kukaa mkao wa kula kwani utaratibu wa kuzitoa bandarini bado unaendelea na soon zitakuwa nchini Tanzania kwa kuwapa raha wadau wetu!
Previous
Next Post »