BREAKING NEWS!!!!!!!!! BASI LA KAMPUNI YA HOOD LAPATA AJAR MKOANI KILIMANJARO

Mtu mmoja amefariki na wengine kadhaa kujeruhiwa akiwemo dereva na kondakta wa basi baada ya basi mali ya kampuni ya HOOD namba T484 AXV lililokuwa likiendeshwa na dereva aliyejulikana kwa jina la Fadhili kupata ajari leo asubuhi mkoanai Kilimanjaro.Baadhi ya mashuhuda wa ajri hiyo wamesema  basi hilo lililikuwa likitokea jijini Arusha kuelekea jijini Mbeya limepata ajari baada ya tairi ya mbele kupasuka kutokana na mwendo kasi wa basi hilo ambao ulipelekea dereva kushindwa kulimudu na kusababisha ajari hiyo. Taarifa kamili na picha tutendelea kuwaletea kadri zinavyozidi kuthibitishwa!




Previous
Next Post »

1 comments:

Click here for comments
Unknown
admin
11 March 2014 at 02:37 ×

Daaah! jamni hood.poleni sana!

Congrats bro Unknown you got PERTAMAX...! hehehehe...
Reply
avatar