BREAKING NEWS!!!!!! NEEMA KWA MAKAMPUNI YA MABASI TNZANIA KUTOKA HOWO BUS CHINA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

H ni nafasi ya pekee kwa kwampuni za mabasi nchini Tanzania na jirani kuweza kuwapatia wateja wao huduma bora na kwa wakati kwa kutumia mabasi ambayo ni ya luxury na yenye uwezo mkubwa wa kuhimili safari za mabali bila kuwa na matatizo ya break down njiani na kuleta usumbufu njiani kwa abiria.

Kampuni ya utengenezaji na usamabazaji wa magari ya mizigo na abiria kutoka china ya SINOTRUCK imeamua kuwaletea basi mpya kabisa na kwa mara ya kwanza kujaribiwa Tanzania aina ya HOWO BUS.

Basi hizi zina ukubwa tofauti na aina tofauti, zipo znye injini mbele ambazo ndiyo zinatumika kwa kiasi kikubwa kwa tanzania kwa safari za mbali na pia zipo basi zenye injini nyuma ambazo ni maalumu kwa ajiri ya safari fupifupi sana! .

HII NI NAFASI YA KAMPUNI ZA TANZANIA NA WENYE MIPANGO YA KUANZISHA KAMPUNI ZA USAFIRI,TAASISI MBALIMBALI KUTUMIA FURSA HII KWANI SINOTRUCK WANATOA HADI GARI KWA MKOPO WA NUSU YA GHARAMA YA GARI HUSIKA!



























MAWASILIANO: 

0765 363 169

Previous
Next Post »