BREAKING NEWS!!! LEO LUXURY COACH!! TUNASAMBAA KUSINI KWANZA HARAFU MIKOA MINGINE!

Moja ya mabasi ya kampuni ya LEO LUXURY COACH likiwa limewasili

Kampuni ya mabasi la LEO LUXURY COACH, imedhamiria kuiteka mikoa ya kusini katika sekta ya usafirishaji wa abiria kwa kuzidi kuingiza basi mpya na za kisasa kwa ajiri ya kutoa huduma hiyo ya usafiri kwa mikoa hiyo.Kampuni hiyo imesema kuwa wao wamedhamiria kutoa uduma katika nchi nzima, ila kwa sasa wanaanza na mikoa ya kusini kwanza ili waweze kuitangaza kampuni yao kwa mpangilio mzuri na kuweza kujiimarisha zaidi kabla hawajapanua huduma zao kuelekea mikoa mingine ya Tanzania.

Kaika kufanikisha hilo, kampuni hiyo ya LEO LUXURY COACH imeingiza basi mbili mpya aina a GOLDEN DRAGON kwa ajili ya kuendeleza mipango yake ya utoaji huduma bora na stahiki kwa abiria wake.

Tazama mabasi mengine ya kampuni hii!!





Previous
Next Post »