BASI LINAUZWA

Basi luxury la Scania 113_360hp injini nyuma body limetengenezwa na kampuni ya Hispano ya ujerumani limesajiliwa kwa namba T893 CSC lina AC inayofanya kazi,siti 52,TV sceen2,liliingizwa nchini mwaka 2013 na halijatumika sana linauzwa milioni themanini za kitanzania (80,000,000) sababu ya kuuza ni mwenye basi muda wake wa kuishi nchini umekwisha anarudi kwao uingereza.Malipo unaweza kulipa cash au nusu,hela nusu na security balance hati ya nyumba au bank guarantee na mikataba ya mahakamani.karibuni sana kwa mawasiliano +2557650321 au email alexkakondele@gmail.com






Previous
Next Post »