BREAKING NEWS!!!HIZI NDIYO JET HALISI TZ. NDENJELA JETI ZIMESHAKANYAGA ARDHI YA DSM,MBEYA KESHOO!!!!

Hatimaye basi zilizokuwa zikisubiriwa kwa hamu za kampuni ya NDENJELA COACH THE ROYAL PRINCESS zimekwishwasili. Nikionhea na mmoja kati viongozi wa juu wa kampuni hiyo Mr.Patrick alisema kuwa basi hizo kwa sasa zimekwisha wasili nchini na muda ambao  ninawasiliana naye basi zote mbili zilikuwa sheli ya GAPCO karibu na uwanja wa taifa zikimalia kufungwa baadhi ya vifaa kwa ajiri ya safari ya Mbeya!

TAZAMA PICHA HAPA CHINI

Previous
Next Post »