BASI LA SASEBOSA KUTOKA MBEYA KUELEKEA TABORA LAPATA AJALI JANA NA KUUA WATU WAWILI!!

Basi la kampuni ya usafiri ya SASEBOSA linalofanya safari zake kati ya mikoa ya TABORA na MBEYA jana limepata ajali mkoani Mbeya katika eneo linalojulikana kama MAJI MAZURI. Taarifa ambazo hazikuthibitishwa zinasema kuwa ajari hiyo imesababisha vifo vya watu wawili.

KWATAARIFA ZAIDI ENDELEA KUTEMBELEA TANZANIA BOUND BUSES BLOG.
Previous
Next Post »