WADA CHOVU!! NDIYO USAFIRI WA UHAKIKA TANZANIA HADI ZAMBIA NA VIUNGA VYAKE!!



Kwa takribani miaka zaidi ya kumi kumekuwa na shida au tatizo la usafiri wa moja kwa moja toka TANZANIA hadi ZAMBIA isipokuwa usafiri wa kukatisha katisha kwa maana ya kuwa unasafiri tokea Dar es salaam hadi Tunduma, harafu unapanda basi lingine kuanzia pale na kuelekea viunga vya nchini zambia hali iliyokuwa ikiwasumbua sana abiria ambao wamekuwa wakisafir katika nchi hizi mbili.

Kwa kuzingatia hilo na kuangalia mahitaji ya abiria na watumiaji wengine wa mabasi au wasafirishaji wa mizigo midogomidogo katika nchi hizo mbili, kampuni kubwa na maarufu ya usafirishaji nchini ZAMBIA ya WADA CHOVU yenye maskani yake katika mitaa ya LIVINGSTONE nchini humo imeamua kwa dhati kukidhi haja ya watumiaji hawa wa mabasi na usafiri huu kati ya nchi hizi mbili kwa kuanzisha safari za uhakika katika nchi hizi mbili bila kukatishakatisha.

Kwa kutumia mabasi yake ya kisasa kabisa, WADA CHOVU inafanya safari zake kila siku za ijumapili na ijuma tano za kila wiki ikiwa na ratiba ifuatayo.

JUMAMOSI-JUMAPILI:  KUTOKA ZAMBIA HADI TANZANIA KUPITIA NDOLA,NAKONDE,TUNDUMA HADI DAR ES SALAAM

JUMATANO-ALHAMISI: KUTOKA TANZANIA(DA ES SALAAM) HADI ZAMBIA KUPITIA MOROGORO-IRINGA-MBEYA-TUNDUMA-NAKONDE-NDOLA HADI LUANSHYA ZAMBIA

OUR CONTACT:
Kariakoo Dar es salaam Tz.
+255772748798/ +255785219192
.
Morogoro Tz. Msamvu bus terminal
+255712285639/ +255783596832

LUANSHYA-ZAMBIA
+260966904262/ +260956994083

email: wada@zamtel.zm.
P.O.BOX 20107 LUANSHYA
FAX: +260.212.511.765
















Previous
Next Post »