PICHA: HII NDIYO AJALI YA BASI LA MOROBEST ILIYOTOKEA LEO ASUBUHI!!!!



Basi la abiria mali ya kampuni ya MOROBEST ambalo hufanya safai zake kati ya wilaya ya Mpwapwa na Dar es salaam limepata ajari leo hii asubuhi na kusababisha vifo vya abiria 17 na wengine 50 kujeruhiwa .

Taarifa zilizothibitishwa na kamanda wa polisi mkoa wa Dodoma zinasema kuwa basi hilo limegongana na lori la mizigo uso kwa uso na kupelekea vifo hivyo na majeruhi hao wakati likijaribu kulipita gari lingine lililokuwa mbele yake, basi hilo lilikuwa njiani kuelekea jijini Dar es salaam kutokea wilayani Mpwapwa.

TAZAMA PICHA ZAIDI HAPA!!!!




Previous
Next Post »