KALI SANA! TSK SAFARI KUANZA SAFARI ZA DAR-BUKOBA!!!!!


Kampuni ya mabasi ya TSK SAARI iliyokuwa ikifanya safari kati ya mikoa ya Dar es salaam na Mbeya pia Tunduma kwa sasa imehamishia mashambulizi yake katika mikoa ya Dar es salaam na Bukoba . Kwa sasa bado haijafahamika zaidi sababu hasa za kuhama njia ila kwa taarifa ambazo hazijathibitishwa ni kuwa kuhama huko kunatokana na upepo wa kibiashara  ambao umeiendea kombo kampuni hiyo katika njia ya Mbeya na Dar.




Previous
Next Post »