AJARI YA BASI LA NAJMUNISA ILIYOTOKEA LEO ASUBUHI YA LEO!!

 

 

Hizi ni habari mbaya kutoka mkoani Shinyanga, Basi la super Najmunisa limepata ajali mbaya baada ya matairi ya mbele kupasuka,inavyosemekana  wapo baadhi ya waliokufa na majeruhi ni wengi sana na bado hatua za kuokoa zilikuwa zikiendelea!





SOURCE: matukio na vijana blog.


Previous
Next Post »