BREAKING NEWS!!!! BASI LA HBS LAPINDUKA JIONI HII!


Basi la kampuni ya HBS, HBS EXPRESS linalofanya safari za Tabora na Dae es salaam limepinduka jioni hii katika eneo la Mlandizi mkoani pwani .likiwa njiani kuelekea jijini Dare es salaam kutokea mkoani Tabora!
Kwa taarifa za awali zinasema kuna basi hilo lilikuwa likijaribu kulipita gari lingine lilikuwa mbele yake na kumshinda dereva kulimudu gari hilo na kupekea ajari hiyo. Kwa taarifa za awali sinasema kuwa  baadhi ya abiria wameumia vibaya sana kutokana na kukandamizwa na basi hilo.


KWA TAARIFA ZAIDI KUHUSIANA NA AJALI HII ENDELEA KUTEMBELEA BLOG HII
Previous
Next Post »