AJARI YA BASI LA HOOD!! ZAIDI YA ABIRIA 50 WANUSURIKA KIFO!!!!



Mzimu wa ajari umeendelea kuiandama kampuni ya mabasi ya HOOD BUS CO.LIMITED yenye maskani yake mkoani Morogoro baada ya basi lake lenye namba za uasajili T 477 AXV lililokuwa likitokea jijini MBEYA kuelekea jijini ARUSHA kupata ajari ya kugonga lori la mizigo kwa nyuma. Ajari hiyo imetokea asubuhi ya leo katika eneo la Mbuyuni hatua chache kabla ya kufika Igawa, ambapo baadhi ya abiria wamejeruhiwa na kupata majeraha kidogo katika sehemu mbalimbali za mwili.

TAZAMA PICHA ZA AJARI HAPA!





Previous
Next Post »