KAMPUNI YA NJOMBE EXPRESS YAINGIZA BASI MPYAAAAA!!!


Kampuni ya mabasi ya NJOMBE EXPRESS inayofanya safari zake kati ya mikoa ya Njombe na Dar es salaam imeamua kuboresh huduma zake kwa kuleta basi mpya kabisa aina ya ZHONG TONG CAESAR ili ktoa huduma za safiri katika mikoa hiyo husika hapo juu.

Kuhusu nauli na huduma zingine endelea kutembelea blog hii zitapatikana humuhumu.




Previous
Next Post »