BREAKING NEWS!!! SHABIBY LINE YAPELEKA LUXURY BUS DAR SINGIDA!!




Kampuni ya usafirishaji wa abiria yenye makazi yake mjini  Dodoma imepanua wigo wa safari zake ili kuzidi kuwafikia wateja wake waliokuwa wakihtaji kwa kuongeza safari kati ya mikoa ya SINGIDA na DAR ES SALAAM kila siku. Kwa mujibu wa taarifa za awali zilizotufikia zinasema kuwa  kwa siku kutakuwa na basi nne kwa tafsiri ya kuwa basi mbili zitakuwa zikitoka Singida kwenda Dar kila siku na nyingine mbili zitakuwa zikitoka Dar kwenda Singida kila siku. Muda wa kuanza safari itakuwa ni basi la kwanza litaondoka saa kumi na mbili na nusu asubuhi (06:30a.m) la kawaida la Luxury saa moja na nusu asubuhi ( 07:30a.m) kutoka Dar na kutoka Singida ni muda huohuo.


Previous
Next Post »