SCANIA GEMILANG YA KWANZA YAINGIA TANZANIA

Katika kile kinaelezewa kuwa ni kuzidi kuboresha huduma kwa wateja, wadau,wapenzi na watumiaji wa bidhaa za scania nchini Tanzania, wakala wa scania nchini SAAB SCANIA wameamua kuingiza bus mpya na ya kisasa  na yenye uwezo Mkubwa ya F310HB  yenye body aina ya Gemilang kutoka  nchini Malaysia.

Itazame hapa chini.

Previous
Next Post »