MTOTO GEMA WAANZISHA RUTI MPYA!

Kampuni ya usafirishaji abiria yenye maskani yake mkoani Tabora ya MTOTO GEMA EXPRESS imepanua wigo wa huduma zake za usafiri kwa kuongeza utoaji wa huduma zake katika mikoa ya Dodoma, Bukoba, Mwanza.

Ruti hizo zilizoongezeka ni ruti ya.  Dodoma TABORA, Dodoma Bukoba ,Mwanza Tabora

Previous
Next Post »