BARAKA CLASSIC KUBORESHA HUDUMA ZAKE ZA USAFIRI!!!

Kampuni ya Usafirishaji ya BARAKA CLASSIC leo hii imeweza kuongeza wigo wa Shughuli zake za Usafirishaji kwa Kuweza Kuongeza Moja ya Basi Moja Jipya kabisa aina ya Yutong ambalo Leo hii ineshuka katika Meli na Kupokelewa Bandari ya Dar es Salaam, Hakika wakazi wa Kusini mwa Tanzania Ile adha ya Usafiri sasa Inatoweka...Ukizingatia Umalizwaji wa Barabara ya Dar - Lindi inayomalizima kujengwa Hivi karibuni kwa Kiwango cha Lami.

Hakika Lindi Kuchele......!!!!! 



Previous
Next Post »