BREAKING NEWS!!! ZAIDI YA ABIRIA 50 WANASADIKIWA KUFARIKI KATIKA AJALI YA BASI LA KAMPUNI YA WIBONELA LAPINDUKA ASUBUHI HII!!!


Basi la kampuni ya wibonela lililokuwa likitokea Kahama kuelekea jijini Dar esalaam  limepinduka asubuhi hii  maeneo ya Phantom kahama baada ya dereva wa basi hilo kushindwa kulimudu basi hilo lilipofika katika kona ya Phantom mjini kahama likiwa katika mwendo kasi, bado haijajulikana ni watu wangapi wamepoteza maisha na kujeruhiwa katika ajali hiyo. Taarifa za awali kutoka kwenye tukio ambazo hazijathibitishwa na polisi zinadai watu zaidi ya 50 wamefariki TUTAENDELEA KUJUZANA ZAIDI IDADI KAMILI YA VIFO NA MAJERUHI!!

MADEREVA KUWENI MAKINI JAMANI!!



Previous
Next Post »