25 WANUSURIKA KUFA SHINYANGA.

Kampuni ya Allys Sport moja ya basi lake limepata ajali baada ya kutumbukia mtoni huko Maganzo mkoani Shinyanga. Ajali hiyo imegharimu uhai wa mtu mmoja aliyefariki papo hapo na wengine zaidi ya 25 kunusurika kifo.
Basi hilo lililokuwa safarini kutokea Ushirombo mkoani Geita kuelekea Bariadi mkoani Simiyu.

Basi la Allys Sport likiwa linanyanyuliwa.

Chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi wa dereva kwa mujibu wa abiria walionusurika katika ajali hiyo.


Newest
Previous
Next Post »