BREAKING NEWS!!! HIZI NDIYO BASI MPYA NANE ZA KIMBINYIKO!! FULL CHARGING SYSTEM, FULL VIP!!!



Kampuni ya usafirishaji wa abiria yenye maskani yake mkoani Dodoma ya KIMBINYIKO INTERNATIONAL COACH imepania kuboresha huduma za usafiri kwa abiria na wadau wote wa mkoa wa Dodoma kwa kuingiza basi nyingine nane 8 aina ya yutong new model maarufu kama UPPER CLASS, F12 ili ziweze kuendeleza utoaji wa huduma za usafiri kati ya mkoa huo wa Dodoma na jiji la Dar es salaam.

Basi hizo zenye aina nyingi ya huduma ambazo katika baadhi ya mabasi mengine hakuna, ikiwa ni pamoja na uwepo wa first class na second class katika kila basi, uwepo wa charging system, fridge katika kila basi, AC kwa ajiri ya mikoa ya joto na kipindi cha joto kali.

TAZAMA PICHA ZAIDI HAPA CHINI.


Hii ndiyo first class katika mabasi hayo ya kimbinyiko internationala coach,na upande wa nyuma ndiyo second class



Hii ni friji ndogo kwa ajiri ya maji ya baridi muda wote wa safari bila kuhangaika kununua njiani 



Hizi ni sockets kwa ajili ya kuchaji aidha simu au laptop ndani ya basi 



 Hapa basi zikiwa cmc zikiendelea kufanyiwa finishing baada ya safari ndefu kutoka china
Previous
Next Post »