AJALI MBAYA YA BASI LA KISBO SINGIDA LEO!!!!!

Basi la kampuni ya KISBO linalofanya safari zake kati ya Dar es salaam na Kahama limepata ajali leo maeneo ya Issuna  kilometa 50 toka Singida mjini, Chanzo cha ajari ni mwendo kasi wa dereva akijaribu kulipita basi la  CITY BOY. Idadi ya vifo na majeruhi haikuweza kupatikana mara moja kutokana na shughuli za uokoaji kuwa ngumu sana kwani basi hilo lilikuwa limeharibika vibaya kutokana na kubiringita zaidi ya mara moja!

 abiria wakiendelea kutoka ndani ya basi hilo


Hii ndiyo hali halisi ya basi la KISBO SAFARI
Previous
Next Post »