KIPACHA EXPRES KUANZA SONGE DAR

Kampuni ya usafirishaji abiria ya mkoani Tanga, inatarajia kuanza  kutoa huduma ya usafiri katika wilaya  ya SONGE na DAR.
Kwa mujibu wa taarifa za watu wa karibu na kampuni hiyo ambao hawakutaka  kutajwa majina yao, wameiambia Wasafiri Tanzania kuwa huduma katika njia hiyo inatarajiwa kuanza  hivi karibuni kabla ya mwisho wa mwezi huu wa tisa  hivyo wapenzi na wateja wa kipacha express wajiandae kuifutahia huduma hiyo hivi karibuni.
Previous
Next Post »